LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA KUTOKA NZENGONI 102.5 LAKE FM MWANZA, MWANANZENGO EIZER BITZ AKISHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Baada ya mtoto aliyezaliwa kuogeshwa, ikafuata picha ya pamoja. Ni jana Agost 22,2016 katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mwananzengo Eizar Bitz (aliyekaa) ambaye ni producer 102.5 Lake Fm Mwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo ambapo huu ni utaratibu wa kawaida ambao hufanyika Nzengoni House mtaa wa Liberty Jijini Mwanza pindi mmoja wa wananzengo anapokuwa akiadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
Na BMG
Muda wa Office Manager, kulishwa keki
Mwanzanzengo Malik akilishwa Keki
Mwanzanzengo Eliza, akilishwa keki
Mwanzanzengo Ramzul akilishwa keki
Mwanzanzengo Halima akilishwa keki
Mwanzanzengo Gomba akilishwa keki
Mwanzanzengo Aisha akilishwa keki
Mwanzanzengo Junior akilishwa keki
Mwanzanzengo Ngamba akilishwa keki
Mwanzanzengo Frank akilishwa keki
Mwanzanzengo Tambwe akilishwa keki
Mwanzanzengo Dj Dhifa akilishwa keki
Mwanzanzengo Sauti akilishwa keki
Mtoto aliyezaliwa akilishwa keki
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.