LIVE STREAM ADS

Header Ads

WACHEKESHAJI OKECHO OKECHI, GONGA NA SHAROBARO WA KIHAYA WANOGESHA NANENANE KWENYE BANDA LA WAJA GENERAL COMPANY.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Juzi Agost 08,2016 ilikuwa Kilele cha Maonesho ya Wakulima na Wafuga Nanenane yaliyofanyika kwa kanda mbalimbali nchini. Kwa kanda ya ziwa, maonesho hayo yalifanyika kwenye uwanja wa Nyamuhongolo Jijini Mwanza.

Katika banda la Kampuni ya Waja ambao ni wauzaji wa vifaa vya shule, maabara, migodini, mabati ya Waja na Shule za wasichana na wavulana Waja, kulikuwa na burudani kabambe kutoka kwa wachekeshaji Okechi Okechi, Gonga pamoja na Sharobaro wa Kihaya.
Na BMG
Gonga kwenye ubora wake
Mambo ya Waja hayo
Teh burudani kutoka kwa Gonga kwenye banda la Waja
Ni full kucheka tu
Bidhaa za Waja ikiwemo mabati ni bora na ukinunua unapewa warranty ya miaka 15.
Bonyeza HAPA Kusoma Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.