WAKAZI WA JIJI LA MWANZA NA MAENEO JIRANI KUKUTANA KWENYE "KABANGAJA BARBECUE & COCKTAIL PICNIC".
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

HADI PALE TAREHE ITAKAPOTANGAZWA TENA, LAKINI EVENT HII IMEAHIRISHWA KUTOKANA NA MAOMBI YA WATU WENGI KUOMBA ISOGEZWE MBELE.
KUTATANGAZIWA TAREHE MPYA YA EVENT HII TENA. SOMA HAPO CHINI TANGAZO LA AWALI LILIVYOKUWA ILI UKIAMBIWA TAREHE YA EVENT BASI MCHONGO MZIMA UWE NAO.
Tahere: UTATANGAZIWA SOON!
KUTATANGAZIWA TAREHE MPYA YA EVENT HII TENA. SOMA HAPO CHINI TANGAZO LA AWALI LILIVYOKUWA ILI UKIAMBIWA TAREHE YA EVENT BASI MCHONGO MZIMA UWE NAO.
Tahere: UTATANGAZIWA SOON!
Mahali: Kabangaja, Ufukwe wa Kayenze (Ziwa Victoria) Jijini Mwanza. Muda: Saa 7 mchana hadi Saa 1 jioni.
Kushiriki Tshs.30,000/=. Idada ya walengwa: Watu 20 hadi 30.
Kutakuwa na Usafiri wa kwenda na kurudi pamoja na vinywaji/cocktail.
Pia nyama choma na vyakula vya asili bila kusahau michezo mbalimbali. Njoo ukutane wa watu tofauti tofauti na kujenga urafiki na mahusiano bora.
Kushiriki Piga 0752 200132 Geofrey Lutenta,
Kushiriki Piga 0752 200132 Geofrey Lutenta,
Imedhaminiwa na #BinagiBlog #BMG 0757432694
No comments: