Hii leo asubuhi katika eneo la Maziwa Buzuruga Jijini Mwanza, imetokea ajali baina ya bodaboda na gari la soda amii ya Cocacoca mali ya Kampuni. Inaelezwa bodaboda amefariki dunia papo hapo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika ajali hiyo. Picha na msomaji.
No comments: