UOKOAJI WAANZA ILI KUWANUSURU WALIOANGUKIWA NA MGODI MKOANI GEITA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com



Zoezi la uokoaji wa wachimbaji wadogo wapatao 15 akiwemo raia mmoja wa China katika mgodi wa RZ uliopo Kijijini cha Nyarugusu mkoani Geita limeanza.
BMG imeelezwa kwamba wachimbaji hao waliangukiwa na mgodi huo majira ya saa nane usiku. Tayari Mkuu wa Mkoa wa Geita amefika eneo la tukio ili kuhakikisha uokoaji unazaa matunda.

Picha na Joel Maduka, Geita
No comments: