Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
 |
Mkuu
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akitubia
wananchi wa wilaya ya Muheza na wadau wa elimu katika maadhimisho ya
ya Juma la Elimu wilayani Muheza kushoto ni Kaimu Afisa Elimu Msingi
wilayani Muheza,Stuart Kuziwa
 |
Kaimu
Afisa Elimu Msingi wilayani Muheza,Stuart Kuziwa akizungumza katika
maadhimisho hayo ambayo yalifanyika kwenye viwanja vya Jitegemee
wilayani humo |
|
|
|
 |
Mkuu
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo katika
akimsikiliza kwa umakini Kaimu Afisa Elimu Msingi wilaya ya
Muheza,Stuart Kuziwa kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Muheza,Dkt Paul Kisaka |
 |
Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza,Dkt Paul Kisaka akizungumza wakati
wa maadhimisho hayo kushoto akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo wakati wa maadhimisho
hayo |
 |
Mkuu
wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akikagua maonyesho ya
Juma la wiki ya Elimu wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye
viwanja vya Jitegemee wilayani Muheza |
 |
Mkuu
wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kulia
akikagua maonyesho ya Juma la wiki ya Elimu wakati wa maadhimisho hayo
yaliyofanyika kwenye viwanja vya Jitegemee wilayani Muheza
|
 |
Mkuu
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili
kutoka kulia akipata maelekezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Kidato cha nne
Shule ya Sekondari Chief Mang'enya,Janet Justice wakati wa maadhimisho
ya Juma la wiki ya Elimu |
Wanafunzi wa Shule za Msingi
kutoka Maeneo mbalimbali wilayani Muheza wakiwa kwenye maandamano
kuelekea kwenye uwanja wa Jitegemee ambako kumefanyika maadhimisho ya
Juma la Wiki ya Elimu.
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali
wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea kwenye uwanja wa Jitegemee
wilayani Muheza kunakofanyika Juma la Wiki ya Elimu.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari
Mlingano wenye mahitaji maalumu ya ulemavu wa kutokusikia na wale wenye
ulemavu wa macho wakitumbuiza kwenye maadhimisho hayo wakitumbuiza
kwenye maadhimisho hayo
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali
wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea kwenye uwanja wa Jitegemee
wilayani Muheza kunakofanyika Juma la Wiki ya Elimu.
Wanafunzi kutoka shule
mbalimbali wakifuatilia
matukio yaliyokuwa yakiendelea kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani
Muheza kunakofanyika Juma la Wiki ya Elimu.
Umati wa wanafunzi na wananchi
wilayani Muheza wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhudia maadhimisho
hayo
Wanafunzi wa Shule ya Msingi
Muheza wakitumbuiza kwenye maadhimisho hayo
Wanafunzi wa shule ya Sekondari
Mkurumuzi wakicheza ngoma kwenye maadhimisho hayo
Walimu wakishriki kwenye mchezo
wa kukimbiza kuku kwenye maadhimisho hayo
 |
Walimu
wakishinda kwenye mchezo wa kuvuta kamba kwenye kilele cha maadhimisho
ya Juma la Wiki ya Elimu wilayani Muheza Mkoani Tanga |
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments: