LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUMEKUCHA MKUTANO WA OYES 2017 JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

 Karibu kwenye mkutano wa injili wa OYES 2017 (Open Your Eyes and See) katika viunga vya kanisa la #EagtLumalaMpya nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Jijini Mwanza.

Mchungaji mwenyeji Dkt.Daniel Moses Kulola @danielkulola pamoja na mchungaji mgeni #GarryWhite kutoka Marekani wanakuletea mafundisho/ mahubiri ya neno la Mungu yenye utukufu wa viwango vya juu.

Kupitia mkutano huu, tunafungua macho na kuuona Ukuu na Utukufu wa Mungu kupitia matendo yake Mema!
@gbpazzo @bmghabari
Mkutano ulianza jumamosi Mei 27 na utafikia tamati Jumapili June 04, 2017.
#BMGHabari

No comments:

Powered by Blogger.