LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ziara ya Rais Magufuli Mwanza, Mbunge wa CUF apongezwa

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Na Binagi Media Group
Rais Dkt.John Pombe Magufuli amempongeza mbunge wa jimbo la Liwale mkoani Lindi, Zubery Chauka (CUF), kwa uwazi na uchapakazi wake.

Aidha atoa pongezi kwa chama cha CUF kwa mabadiliko kinayoyafanya ndani ya chama, mabadiliko ambayo pia yamekuwa yakifanywa ndani ya CCM.

Rais Magufuli ametoa pongezi hizo wakati akizindua daraja la Furahisha Jijini Mwanza hii leo baada ya hapo awali mbunge Chauka ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kutoa pongezi kwa Rais Magufuli na serikali yake kwa namna inavyowatumikia wananchi kwa vitendo.
Bonyeza HAPA kutazama picha

No comments:

Powered by Blogger.