LIVE STREAM ADS

Header Ads

"Kuwa CCM ni imani"- Biteko

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mbunge jimbo la Bukombe mkoani Geita (CCM), Doto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilayani Bukombe kutoka Kata za Bulagwa, Igulwa na Katente.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Katibu wa Siasa na Uenezi (CCM) mkoani Geita, David Azaria akizungumza kwenye kikao hicho ambapo alisisitiza umoja ndani ya chama na kuondokana na makundi yanayokigawa chama
Mwenyekiti wa CCM wilayani Bukombe, Daniel Machongo akizungumza kwenye kikao hicho ambapo aliwataka wajumbe kuendelea kushikamana ili kukiimarisha chama
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Kata za Bulagwa, Igulwa na Katente wakiwa kwenye kikao hicho ambapo mbunge Doto Biteko alikuwa akizungumza nao kuimarisha chama.

No comments:

Powered by Blogger.