LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbunge jimbo la Bukombe alivalia njuga suala la elimu

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Wazazi na walezi katika wilaya ya Bukombe mkoani Geita wametakiwa kuweka mkazo katika kuwasomesha watoto ili kuwasaidia kuondokana na utegemezi hapo baadae.

Mbunge jimbo la Bukombe, Doto Biteko (pichani juu) ametoa rai hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Iyogelo jimboni humo.
Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi CCM Kata ya Iyogelo wilayani Bukombe wakifualitia mkutano wa mbunge wa Jimbo la Bukombe katika Kata hiyo
Mbunge jimbo la Bukombe, Doto Biteko akizungumza na wakazi wa Kata ya Iyogelo jimboni humo kuwaeleza utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

No comments:

Powered by Blogger.