LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mdau anasafisha taa za magari na kuzirudisha kwenye upya wake

Wasiliana na BMG Blog/ BMG Online TV kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Je Taa za Gari lako zina ukungu, zimepauka? Kupelekea hupati mwanga wa kutosha wakati wa usiku? Na ushafikiria kununua taa nyingine? Kama ndivyo, basi huna Hhja ya kuwaza kununua taa nyingine.

Nasafisha na kuzirudisha kwenye hali yake ya upya na kupata mwonekano "Amaizing" na kupata mwanga wa kutosha wakati wa usiku na gari lako kuongezeka thamani.

Kwa gharama nafuu kabisa ya shilingi elfu 35 tu, nakufuata popote ulipo kwa Dar Es Salaam na taa za gari lako zinarudi kwenye upya kabisa. Nipigie simu 0712 390 200 nije kukuhudumia.

No comments:

Powered by Blogger.