LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kizaazaa watuhumiwa waliouawa mkoani Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Usiku wa kuamkia jumamosi Januari 26, 2019, jeshi la polisi mkoani Mwanza limewaua watuhumia wanane wa uhalifu wilayani Ukerewe huku mamia ya wananchi walijitokeza katika Hospitali ya wilaya hiyo kutambua miili ya watuhumiwa hao. Ungana na BMG Online TV kwa habari zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.