LIVE STREAM ADS

Header Ads

LIVE: Mkutano Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa Mwanza (MZFA)

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Matangazo #Mubashara kupitia BMG Online TV #PamojaDaimaBMG kutoka Gold Crest Hotel Jijini Mwanza, hii leo Januari 26, 2019. Pamoja na mambo mengine, mkutano huu unajadili taarifa ya utekelezaji/ utendaji ya wanachama, kuthibitisha taarifa ya fedha, kuteua wakaguzi wa nje wa mahesabu, kupitisha bajeti ya MZFA ya mwaka 2019, mapendekezo kutoka kwa wanachama/ kamati tendaji, kujaza nafasi zilizoachwa wazi, hotuba ya Mwenyekiti MZFA na mengineyo.
Tazam BMG Online TV #Mubashara hapa chini
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.