LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwenyekiti alivyopambania "posho" mbele ya Naibu Waziri

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwenyekiti wa chama cha wachimbaji wadogo wa dhahabu mkoani Mara (MAREMA), David Bita amewataka wachimbaji hao kuwa tayari kuwalipa posho viongozi wao hatua ambayo itaondoa hatari ya usaliti kwa viongozi hao katika kusimamia mapato.

Bita ametoa kauli hiyo Januari 04, 2018 wakati akitoa salamu za shukrani baada ya ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu yaliyofanyika katika Kata ya Buhemba wilayani Butiama yaliyofunguliwa na Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko.

No comments:

Powered by Blogger.