LIVE STREAM ADS

Header Ads

SHAMRASHAMRA: Wadau waanza maisha mapya ya ndoa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Bi.harusi, Aisha Ally akiwa katika pozi kabla ya kufunga pingu za maisha na Bwana harusi Abdulkarim Amani Januari 04, 2018 Tabata Kimanga Jijini Dar es Salaam.
Bi. harusi, Aisha Ally akiwa katika pozi.
Bwana harusi, Abdulkarim Amani akiwa amempakata mke wake, Aisha Ally mara baada ya kufunga ndoa Januari 04, 2019 Tabata Kimanga Dar es Salaam.
Bi.harusi Aisha Ally, akipongezwa na madada na marafiki mara baada ya kufunga ndoa na mume wake, Abdulkarim Amani.
Mwalimu Asia Mayumana (kulia) akiwa katika picha na wadogo zake, kuanzia kushoto ni Shida Mayumana na Halima Mayumana ambaye ni Muuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa na mjukuu wao.
Bi. harusi Aisha Ally akiwa katika picha ya pamoja na ndugu zake.
Maandalizi ya chakula yakiendelea.
Bi. Aisha Ally (kushoto) akipiga picha ndugu zake.
Bi. harusi, Aisha Ally katika picha na ndugu zake.
Bwana harusi, Abdulkarim Amani akimbusu mke wake, Aisha Ally.
Bwana harusi Abdulkarim Amani akiwa katika mpozi na mke wake Aisha Ally.
Bwana harusi, Abdulkarim Amani (kulia) na mke wake Aisha Ally (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajomba wa Bi. harusi baada ya kufunga ndoa.
Picha na Khamis Mussa, Dar

No comments:

Powered by Blogger.