LIVE STREAM ADS

Header Ads

Aggrey Mwanri awageukia majirani baada ya wala ubwabwa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanri (pichani) amesema ili kupambana na utoro kwa wanafunzi pamoja na ndoa za utotozi, ataanza kuwasukuma ndani pia majirani wa wanafunzi wanaoona watoto hawaendi shule lakini hawatoi taarifa.

Mwanri ametoa kauli hiyo hii leo wakati akiwasilisha taarifa fupi ya mkoa wake kwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan aliyeanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanri (kushoto), akimkabishi Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan taarifa ya mkoa huo.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi mkoani Tabora (kushoto), akimkabidhi Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi mkoani humo.
Viongozi mbalimbali walioambatana na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan kwenye ziara yake mkoani Tabora.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.