LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mamlaka za Serikali zahimizwa kulegeza masharti kwa wajasiriamali

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

#Tunakumbushana #BMGOnlineTV #WajasiriamaliTanzania #SautiZaoMafanikioYao
Esther Masawe ambaye ni mjasiriamali kutoka kikundi cha wanaozalisha wa maziwa ya “Yogurt” chini ya taasisi ya Demokrasia na Utawala Bora Tanzania (ADLG) ya Jijini Mwanza, anasema mamlaka za Serikali zimeweka masharti magumu kwa wajasiriamali kiasi kwamba wanashindwa kufanikiwa kwenye shughuli zao.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.