Wizara yatoa zawadi kwa wanawake mkoani Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa zawadi kwa wanawake wajasiriamali mkoani Mwanza, baada ya kushiriki vyema kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2019.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: