LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanawake wajasiriamali wapewa mafunzo Jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii imetoa mafunzo kwa wanawake wajasiriamali na Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka mikoa ya Mwanza, Geita na Simiyu ili kuwajengea uwezo kukabiliana na vikwazo vya kiuchumi.
Mafunzo hayo ya siku mbili yameanza leo Machi 28, 2019 kwenye ukumbi wa "Gandh Hall" Jijini Mwanza. 
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mratibu wa Mafunzo hayo kutoka Wizara ya Afya, Sylvia Siriwa akielezea lengo lake.
Katibu Tawala Msaidizi Mkoa Mwanza, akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo.
Mafunzo hayo yamelenga kuhamasisha wanawake kutumia fursa zilipo kujikwamua kiuchumi na namna ya kukabiliana na changamoto zinazowakwamisha katika shughuli zao za ujasiriamali.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.