LIVE STREAM ADS

Header Ads

Jukwaa la NAWEZA lazinduliwa mkoani Iringa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Iringa, Ally Hapi akisisitiza jambo kwa wadau wa afya wa Mkoa huo (hawapo pichani), kwenye uzinduzi wa jukwaa la "NAWEZA" linakalozungumzi masuala ya afya kwa watu wazima hususani afya ya Mama na Mtoto uliofanyika leo.
Na Michael Machellah
Mkuu wa Mkoa Iringa, Ally Hapi (wa pili kulia) akisisitiza jambo kwa wadau wa afya wa Mkoa huo (hawapo pichani) baada ya kuzindua Jukwaa la "NAWEZA".
Mkuu wa Mkoa Iringa, Ally Hapi (kushoto) na Mwakilishi kutoka USAID, Ananthy Thambinayagamwa wakipiga makofi baada kuzindua Jukwaa la "NAWEZA".

No comments:

Powered by Blogger.