LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ilivyokuwa kwenye uzinduzi wa jukwaa la "SITETEREKI" mkoani Tabora

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanry akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la "SITETEREKI" linakalozungumzi masuala ya afya hususani vijana chini ya mika 25 ili waweze kujitambua na kuwa na tabia chanya. Uzinduzi huo ulifanyika jana Mkoani Tabora.
Na Michael Machellah
Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanry akipiga makofi kwa kushirikiana na baadhi ya wadau wa afya baada ya kuzindua jukwaa la "SITETEREKI" litakalozungumzi masuala ya afya hususani vijana chini ya mika 25 ili waweze kujitambua na kuwa na tabia chanya.
Baadhi ya vijana wa mkoani Tabora wakimfuatilia Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanry (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa jukwaa la "SITETEREKI" linalozungumzia masuala ya afya haswa kwa vijana chini ya miaka 25.

No comments:

Powered by Blogger.