LIVE STREAM ADS

Header Ads

Hizi hapa juhudi za APHFTA katika kupambana na vifo vitokanavyo na uzazi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mratibu wa Chama cha Watoa Huduma za Afya Binafsi Tanzania (APHFTA) Kanda ya Ziwa, Joyce Mwihava (kulia) akifanya utambulisho kwenye mafunzo kwa wataalam wa afya kutoka Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaliyofanyika Jijini Mwanza, Machi 19 hadi 22, 2019. Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo kupambana na vifo kwa akina mama wajawazito pamoja na watoto wachanga wakati wa kujifungua.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwenyekiti wa APHFTA Kanda ya Ziwa, Dkt. Godfrey Mnyaga (kulia) akizungumza kwenye tamati ya mafunzo hayo.
Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt. Thomas Rutachunzibwa akizungumza kabla ya kuhitimisha mafunzo hayo.
Mafunzo hayo yameandaliwa na APHFTA kwa kushirikiana na Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho kutoka Marekani
Baada ya mafunzo hayo, washiriki walipewa vyeti vya ushiriki pamoja na vitendea kazi.
Mwaka 2012 APHFTA iliyoa mafunzo ya aina hiyo kwa washiriki 50, mwaka 2017 washiriki 48 na mwaka huu washiriki 43.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.