LIVE STREAM ADS

Header Ads

Muda wa usajili nyara za Serikali waongezwa “Watemi wampongeza JPM”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza kuongeza muda wa usajili wa nyaraka za Serikali uliokuwa umemalizika mapema mwaka huu.

Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Khamis Kigwangalla aliyasema hayo Juni 24, 2019 wakati akifungua rasmi tamasha la utamaduni wa wasukuma (Bulabo) linalofanyika katika uwanja wa Kisesa wilayani Magu hadi Juni 30, 2019.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.