Header Ads

Kampeni ya kutokomeza Ukatili wa Kijinsia yazinduliwa mkoani Kigoma

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kampeni ya kutokomeza Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na watoto katika Wilaya za Kakonko, Kibondo na Kasulu mkoani Kigoma, ulifanyika jumatano Juni 26, 2019 katika uwanja wa Umoja mjini Kasulu. Kampeni hiyo inatekelezwa na Halmashauri za Wilaya hizo kwa kushirikiana na Shirika la KIVULINI.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo.
Mkuu wa Dawati la Jinsia Polisi Mkoa Kigoma, SP. Amina Kuhando akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.
Wadau na viongozi mbalimbali wakiwemo wawakilishi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa waliohudhuria uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia katika Wilaya za Kakonko, Kasulu na Kibondo mkoani Kigoma.
Wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo.
Jumbe mbalimbali kupitia mabango zilizowasilishwa kwenye uzinduzi wa kampeni hiyo.
Wanafunzi na wanaharakati wakiwasilisha jumbe mbalimbali kupitia mabango kwenye kampeni hiyo.
Wanahabari wakinasa matukio kwenye uzinduzi wa kampeni hiyo.
Afisa Programu Shirika la KIVULINI, Grace Mussa akichagiza mada wakwati wa mdahalo kwenye uzinduzi huo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.