LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la KIVULINI laendesha mdahalo Kasulu “mtoto wa mwaka mmoja kalawitiwa”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake KIVULINI jana Juni 25, 2019 limeendesha mdahalo wa wazi katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ukilenga kutoa elimu kwa jamii kupinga hadharani aina zote za ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto na wanawake.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally akiongoza mdahalo huo uliofanyika katika viunga vya Soko Kuu mjini Kasulu.
Mdahalo huo ulilenga kutoa elimu kwa jamii kupinga na kufichua aina zote za ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally (kulia) akifurahia na kumtuza mmoja wa wasanii waliokuwa wakitumbuiza kwenye mdahalo huo.
Katibu Tarafa ya Luchini Halmashauri ya Kasulu Mji, Kyabwene Masele Lusana akizungumza kwenye mdahalo huo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kasulu Mji, Twallib Mangu akitoa salamu za Halmashauri hiyo kabla ya kuanza kwa mdahalo huo.
Afisa wa Dawati la Jinsia la Polisi wilayani Kasulu, Maimuna Abdul akitoa akizungumzia matukio ya ukatili wa kijinsia wilayani humo.
Mmoja wa akina mama waliohudhuria mdahalo huo akichangia mada.
Mmoja wa wadau wa kupiga vita ukatili akichangia mada kwenye mdahalo huo.
Burudani kwenye mdahalo huo kufikisha ujumbe wa kupiga vita ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kupata elimu kwenye mdahalo huo.
Wananchi wakiojitokeza kupata elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia katika jamii.
Wadau mbalimbali wakiendelea kufuatilia mdahalo huo.
Mabambo mbalimbali kwenye mdahalo huo kufikisha elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.