Tanzania yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ualibino
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Tanzania leo
Juni 13, 2019 inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya
kimataifa ya uelewa kuhusu ualibino ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika
mkoani Morogoro.
Maadhimisho
hayo yanafanyika wakati Serikali ya Tanzania ikizidi kupongezwa kwa hatua
kabambe ilizochukua katika kupambana na vitendo vya ukatili kwa watu wenye ualibino
na kuwa kuwa eneo ambalo mataifa mengine Afrika yanakuja kujifunza.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: