Header Ads

Safari ya Jubilei ya miaka 25 ya Chuo cha SAUT yaanza rasmi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Safari ya miaka mitano kuelekea kwenye maadhimisho ya Jubilei ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) ilianza rasmi Julai 02, 2019 kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo hicho ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu Tatu, Mzee Benjamin Willium Mkapa.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akiteta jambo na Mhadhili wa Chuo Kikuu cha SAUT, Dotto Bulendu kando ya maonesho ya kitaaluma yaliyoandaliwa na wanafunzi wa Chuo hicho.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.