Header Ads

Zuio la mikutano ya hadhara laibuka tena

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Zuio la mikutano ya hadhara hapa nchini limeibuka tena kwenye mkutano baina ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na wadau wa uchaguzi Mkoa Mwanza uliofanyika leo Agosti 02, 2019 ukiwa na dhima ya kupeana elimu kuhusu zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura. 
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.