LIVE STREAM ADS

Header Ads

Hatuwezi kufikia uchumi wa kati bila chaguzi huru na haki- MPC

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Agosti 02, 2019 imekutana na wadau wa uchaguzi mkoani Mwanza wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa, dini, asasi za kiraia, makundi ya watu wenye ulemavu, vijana, wanawake na wanahabari ili kupeana elimu kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikiwa ni maandalizi kuelekea chaguzi zijazo. Kupitia mkutano huo, wadau wamepata fursa ya kutoa maoni yao kwa NEC.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.