LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko aahidi mifuko 300 ya saruji Kahama "kila atakayepata ONE kulamba laki moja"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mgeni Rasmi, Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini akiwasili Mahafali ya 15 ya Shule ya Sekondari Busangi iliyopo Halmashauri ya Msalala, Wilaya Kahama mkoani Shinyanga, Oktoba 16, 2019.

Akizungmza kwenye Mahafali hayo, Biteko alitoa ahadi ya mifuko 300 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa vyumba vya madarasa shuleni hapo huku akiungwa mkono na viongozi wa Serikali na taasisi mbalimbali akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala aliyeahidi kupeleka Tsh. 25,000,000 (milioni 25) kwa ajili ya ujenzi huo.

Aidha Biteko aliahidi kutoa Tsh. 100,000 (laki moja) kwa kila mwanafunzi atakayefaulu kwa daraja la kwanza katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne katika Shule hiyo ya Sekondari Busangi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko akipungia wananchi mkono alipokuwa akiwasili kwenye Mahafali hayo.
 Kijana wa Skauti akimvisha Skafu Mgeni Rasmi, Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko.
 Wahitimu wa Shule ya Sekondari Busangi wakiimba wimbo wa kuwaaga wenzao kwenye Mahafali hayo.
 Viongozi mbalimbali meza kuu.
 Mgeni Rasmi, Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko akizungumza kwenye Mahafali hayo.
 Mkuu wa Shule ya Sekondari Busangi akisoma taarifa ya Shule hiyo.
 Katibu Tawala Mkoa Shinyanga akitoa salamu za Serikali kwenye Mahafali hayo.
 Wahitimu.
 Mgeni Rasmi, Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko akikabidhi vyeti kwa wahitimu pamoja na wanafunzi waliofanya vizuri kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo taaluma.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.