LIVE STREAM ADS

Header Ads

Madhara ya Zebaki ni makubwa "wananchi watakiwa kuwa makini"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Waziri wa Madini, Doto Biteko amewataka wananchi hususani wachimbaji wadogo wa dhahabu kuwa makini na matumizi ya Zebaki kwenye uchenjuaji wa madini hayo wakati Serikali ikitafuta njia mbadala ya kemikali hiyo.

Waziri Biteko ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri (RCC) Mkoa Geita, kilichofanyika Oktoba 16, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza kwenye kikao hicho.
 Afisa Madini Mkazi Mkoa Geita, Daniel Mapunda akiwasilisha taarifa ya Madini ya Mkoa huo.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye kikao hicho.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.