LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waganga wa jadi watuma "MSG" kwa Serikali

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Baadhi ya Waganga wa Tiba za Asili katika Wilaya Misungwi mkoani Mwanza waliojitokeza kwenye mdahalo wa kupinga Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake na watoto katika Kata ya Inonelwa ulioandaliwa kwa ushirikiano na Shirika la KIVULINI, Oktoba 21, 2019.
#BMGHabari
Katibu wa Baraza la Tiba Asili wilayani Misungwi, Mathias Elikana Madete akitoa msimamo wa waganga wa tiba asili wilayani humo.
 Wanahabari wakinasa matukio.
Taswira ya mdahalo huo uliofanyika katika Kijiji cha Sanjo, Kata ya Buhingo, Tarafa ya Inonelwa wilayani Msiungwi.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.