LIVE STREAM ADS

Header Ads

Vijana Manispaa ya Ilemela wajengewa uwezo kupambana na mimba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Vijana wa kike na wa kiume kutoka Kata za Sangabuye, Kayenze na Bugogwa zilizopo Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wanaonufaika na mradi wa kutokomeza mimba na ndoa za mapema wameshiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika kitaifa jijini Mwanza Disemba 01, 2019.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.