Wanafunzi wa vyuo watakiwa kujiepusha na muweweseko wa vishawishi
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shirika la
kutetea haki za wanawake na wasichana KIVULINI limetoa rai kwa wanafunzi
hususani wa kike katika vyuo mbalimbali nchini kujiepusha na vishawishi
vinavyoweza kukatisha ndoto zao na badala yake kujikita kwenye masomo.
Mkurugenzi
wa shirika hilo, Yassin Ally aliyatoa rai hiyo Novemba 29, 2019 kwenye
kongamano la wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare kilichopo Wilaya
Musoma mkoani Mara lililolenga kuwajengea uwezo ili kujitambua na kutimiza
ndoto zao.
#BMGHabari
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: