LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la KIVULINI lashiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake KIVULINI, Yassin Ally akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika viunga vya Rock City Mall jijini Mwanza kuanzia Novemba 25, 2019 hadi Disemba 01, 2019.

Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu), Jenista Mhagama aliyemwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la KIVULINI, Yassin Ally alishauri elimu zaidi kuendelea kutolewa kwa vijana hususani wa kike kwani wamekuwa wakipata maambukizi ya VVU baada ya kuvishwa pete tegesha za ndoa (Engagement Tegesha).
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (katikati) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally wakati akiwasili kweye maadhimisho hayo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally akieleza shughuli zinazofanywa na shirika hilo baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu), Jenista Mhagama.
 Baadhi ya wanaharakati wa shirika la KIVULINI wakiwa kwenye maonesho hayo.
 Banda la shirika la KIVULINI likiwa na jumbe mbalimbali.
 Wanaharakati wa shirika la KIVULINI wakiingia kwenye maadhimisho hayo huku wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali.
 Jumbe mbalimbali kutoka kwa wanaharakati wa shirika la KIVULINI.
 Wanaharakati wa shirika la KIVULINI wakiwasili kwenye maadhimisho ya Siku ya Ukimwei Duniani kitaifa jijini Mwanza.
 Wanaharakati wa Shirika la KIVULINI wakiwasili kwenye maadhimisho hayo.
 Jumbe mbalimbali za wanaharakati wa shirika la KIVULINI ikiwemo "Engagement Tegesha" zinavyosababisha maambukizi ya VVU kusambaa ziliwagusa watu wengi kwenye maadhimisho hayo.
Wanaharakati wa shirika la KIVULINI wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu), Jenista Mhagama.

Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.