LIVE STREAM ADS

Header Ads

Madini yaliyo nyumbani bila nyaraka ni halali yetu- Biteko

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Madini, Doto Biteko amewataka wachimbaji walio na madini kuhakikisha wanayasajili katika Ofisi za Maafisa Madini na kupewa nyaraka vinginevyo wakikamatwa nayo yatakuwa mali halali ya Serikali.

Pia Biteko amebainisha kwamba Serikali inakamilisha mfumo wa kidijikali ili yeyote atakayekuwa anasafirisha madini awe anatoa taarifa kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kupitia namba maalum na hivyo kuondokana na usumbufu wa kutembea na makaratasi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.