Siku ya Ukimwi duniani "vijana hawajafikiwa ipasavyo"
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wakati
Tanzania inaungana na mataifa mengine Novemba 01, 2019 kuadhimisha Siku ya
Ukimwi Duniani, Shirika la AGPAHI limeshauri majukwaa ya vijana ikiwemo
mitandao ya kijamii kutumika ili kufikisha elimu hatua itakayosaidia kupunguza
kasi ya maambukizi mapya ya VVU katika kundi hilo.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
SOMA>>> Mkusanyiko wa habari mbalimbali
No comments: