CCM Mwanza wamkingia kifua diwani wa mfano “asibugudhiwe”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baada ya
diwani wa Kata ya Mhandu jijini Mwanza, Sima Constantine Sima kuwasilisha
taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha
Januari 2018 hadi Januari 2020, Katibu wa chama hicho Wilaya Nyamagana amemtaja
kama diwani wa mfano na kutaka asibugudhiwe katika kipindi hiki cha kuelekea
kwenye Uchaguzi Mkuu 2020.
#BMGHabari
Katibu wa CCM Wilaya Nyamagana, Geofrey Gabenga akizungumza kwenye mkutano mkuu maalum wa chama hicho Kata ya Mhandu jijini Mwanza.
Diwani wa Kata ya Mhandu jijini Mwanza, Sima Constantine Sima akizungumza kwenye mkutano huo.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: