Mwanza waanza kunyunyizia dawa ya kuangamiza Virusi vya Corona
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Afua
mbalimbali za kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona zinaendelea
kutekelezwa mkoani Mwanza ambapo Jumanne Aprili 07, 2020 zoezi la kunyunyizia
dawa ya kuangamiza virusi hivyo limeanza kutekelezwa kwenye vyombo mbalimbali
vya usafiri.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na Corona
No comments: