LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kemikali iliyokamatwa Mwanza kutengeneza vitakasa mikono

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amekabidhiwa lita 92,600 za kemikali bashirifu zilizotaifishwa na Mahakama baada ya kukamatwa bila vibali zikiingizwa nchini kwa ajili ya kutengenezea pombe kali.

Mongella amepokea kemikali hiyo Jumatatu Aprili 20, 2020 na kueleza kwamba itatumika kwa ajili ya kutengenezea vitakasa mikono (Sanitizer) ambazo zitauzwa kwa gharama nafuu ili kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona (Covid- 19).
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.