LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kituo cha Pamoja MWANZA AIRPORT kuondoa vikwazo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amesema kuanzishwa kwa Kituo cha Pamoja (One Stop Centre) katika uwanja wa ndege wa Mwanza kutasaidia kuondoa vikwazo kwa wafanyabiashara na kurahisisha usafirishaji wa mizigo.

Mongella aliyasema hayo Mei 19, 2020 wakati akishuhudia usafirishaji wa shehena ya pili ya minofu ya samaki kiasi cha tani 20 kwenda nchi za Italia na Ubelgiji kwa kutumia ndege ya shirika la ndege la Rwanda kutokea uwanja wa ndege wa Mwanza. 
#BMGHabari 
 Viongozi mbalimbali mkoani Mwanza akiwemo Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wakishuhudia usafirishaji wa shehena ya samaki kwenda nchi za Italia na Ubelgiji.
 Shehena ya minofu ya samaki ikiandaliwa kwa ajili ya kusafirishwa kwenda nchi za Ulaya.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.