Shehena ya sukari yawasili Mwanza “Waziri atinga kwa wajasiriamali”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa
Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amewatoa hofu wananchi kuhusu suala la upungufu
wa sukari kwa kuwa bidhaa hiyo ipo ya kutosha baada ya kuanza kuwasili kutoka
nje ya nchi.
Waziri
Bashungwa aliyasema hayo Mei 14, 2020 akiwa jijini Mwanza akishuhudia upakuaji wa shehena ya
sukari iliyowasili kutoka nchini Uganda kupitia bandari ya Mwanza Kusini.
#BMGHabari
Shehena ya sukari iliyoagizwa na kampuni ya VH. Shah kutoka Uganda ikipakuliwa katika bandari ya Mwanza Kusini.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na sukari
No comments: