Wanahabari Mwanza wapokea vifaa vya kujikinga na Corona
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Klabu ya
Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (MPC) Mei 13, 2020 imepokea vifaa vya kujikinga
na maambukizi dhidi ya Corona kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Ziwa.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na MPC
No comments: