LIVE STREAM ADS

Header Ads

Serikali yajiweka kando bei ya Pamba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Serikali imesema haitajihusisha tena na upangaji wa bei ya zao la pamba na badala yake bei hiyo tapangwa na wakulima pamoja na wanunuzi wa zao hilo kulingana na mwelekeo wa soko la dunia.

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga aliyasema hayo Juni 07, 2020 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa pamba uliofanyika jijini Mwanza ukihusisha washiriki kutoka mikoa 13 inayolima zao hilo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akizungumza kwenye mkutano huo.
 Mwakilishi wa wanunuzi wa Pamba, Christopher Gachuma akitoa salamu zake kwenye mkutano huo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.