RC Mara awaonya wababe wanaopiga watu Buhemba
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mara, Adam Malima amewaonya baadhi ya wachimbaji
dhahabu katika mgodi wa Irasanilo uliopo Buhemba wilayani Butiamba na kuwataka
kuacha tabia ya kujiita wababe na kuwapiga wenzao.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
No comments: