Baba matatani kwa tuhuma za kumuua mwanae
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Jeshi la
Polisi Mkoa Mwanza linamshikilia Antony Lyaya (38) mkazi wa Kisesa Wilaya Magu
mkoani Mwanza kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia kifo mtoto wake aitwaye Agness
Lyaya (08) aliyekuwa akisoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi Bujora.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari zinazohusiana
No comments: