LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella ashuhudia Kliniki Tembezi inavyofanya kazi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella ameshuhudia utoaji huduma za afya ikiwemo upimaji na utoaji dawa kwa watu wenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi katika Wilaya Magu kupitia Kliniki Tembezi chini ya mradi wa FIKIA unaotekelezwa na Shirika la ICAP. 

Mongella ameshuhudia huduma hiyo Jumatano Agosti 12, 2020 alipofanya ziara katika Kijiji cha Ndagalu Kata ya Kabila wilayani Magu na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi wa FIKIA unaolenga kufikisha karibu huduma za afya kwa wananchi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wananchi wilayani Magu wakipata huduma za afya kupitia Kliniki Tembezi.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.