LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAJALIWA awasili MWANZA kusaka kura za CCM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewasili mkoani Mwanza akitokea mkoani Mara kwa ajili ya kuwanadi na kuwaombea kura wagombea wa chama hicho kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge na Rais ili wachaguliwe kwa kishindo kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, 2020.

Majaliwa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano amelakiwa na umati mkubwa wa wananchi na viongozi mbalimbali wakiwemo wa chama na serikali katika Wilaya Magu, Jumanne Septemba 22, 2020.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.