LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mgombea atema cheche kwenye mkutano wa MAJALIWA Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mgombea ubunge jimbo la Magu mkoani Mwanza, Boniventure Kiswaga ametema cheche akiomba kura mbele ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa aliyewasili mkoani Mwanza Septemba 22, 2020 kuwanadi wagombea wa chama hicho.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.