LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA "ni mapokezi makubwa ya Magufuli"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wananchi na viongozi mbalimbali wakiwemo wa chama na Serikali wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anayetarajiwa kuwasili mkoani Mwanza akitokea mkoani Mara. 

Dkt. Magufuli anapokelewa katika uwanja wa mpira Mwanankanda mjini Magu jumapili Septemba 06, 2020 ambapo Jumatatu Septemba atakuwa na Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika uwanja wa CCM Kirumba. 
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
"Ndo nawasili kumlaki JPM"
Burudani
Viongozi mbalimbali mkoani Mwanza akiwemo mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Dkt. Angeline Mabula (wa pili kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Wagombea ubunge CCM mkoani Mwanza akiwemo mgombea Jimbo la Magu, Bonaventure Kiswaga (katikati), Nyamagana Stanslaus Mabula (kulia) na Sumve (kushoto).
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
                                      SOMA>>> Mwanza wajipanga mapokezi ya JPM

No comments:

Powered by Blogger.